Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

hela ya tuisheni inajenga flaiova ya madongokuruka. usiaibishe taaluma adhimu ya ualimu kwa kujiita mwalimu. chama hakisajiliwi bila sera mezani. waliolipa kodi kwetu wataambiwa kodi yao imetumikaje. hela za ruzuku hazijengi madaraja wala zahanati mwalimu pasipo elimu!
Mnanenepeana ka kujaza matumbo yenu, ukifika wakati wa kusema mliyoyafanya kwa kipndi chote cha miaka mitano mnakuja na hoja dhaifu mara uonevu, mara udikteta, mara mmeibiwa sijui mmedhulumiwa, kifupi upinzani hakuna lamaana mlilofanya mnaloweza kuwaonyesha wapigakura wenu ndio maana mnaogopa uchaguzi
 
Na upinzani wakithubutu tu kurudi watakuwa wapuuzi kweli kwani, kinachotafutwa hapa ni legitimacy, tu ya kuwa wote walishiriki lakini matokeo yao yako pale pale tu!! Hangaisha bwege.
Mbowe Mnyika Zitto na wengineo someni hii
Huu moto usipoe
Matamko yasiishie hapa
Huu ni wakati wa ukombozi mkilegea tu hamna namna nyingine
Endeleeni kukemea na kutoa miongozo asubuhi mchana na usiku
Mkutane vyama vyote vya upinzani mje na maazimio ya kufanya tusilale usingizi
Cc BAK upo???!
 
Mnanenepeana ka kujaza matumbo yenu, ukifika wakati wa kusema mliyoyafanya kwa kipndi chote cha miaka mitano mnakuja na hoja dhaifu mara uonevu, mara udikteta, mara mmeibiwa sijui mmedhulumiwa, kifupi upinzani hakuna lamaana mlilofanya mnaloweza kuwaonyesha wapigakura wenu ndio maana mnaogopa uchaguzi
serikali haijengi barabara wala vituo vya afya kwa ruzuku ya chama. kataa kama una ubavu kwamba uliyoyataja hawafanyiwi wapinzani! kodi zetu ndizo zinanunua madege. hakuna chama cha siasa kinachokusanya hizo kodi. mwalimu hujui kabisa anayekusanya kodi zetu? walipa kodi hawana chama ni raia wote, wenye vyama na wasio na vyama.
 
Mimi nimechoka hata kusoma habari za huu uchaguzi nasoma tuu comments nitajua tuu kama hali si shwari kupitia hizo comments
 
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
wewe ni wakupuuzwa sijui hata kazi unafanya saa ngapi maana muda wote wewe upo jf kumsifia magufuli kama vile yeye malaika
 
I'm not sure. Asbert yuko Finland na nilimsikia tu akikitaja DW Radio ya Ujerumani. I'm sorry
 
Iwe kwa maelekezo au kwa maamuzi yako Mr Jafo, Umeshindwa vibaya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.
wewe na mamlaka yako ya uteuzi mmejitia doa kuu. mnahubiri maendeleo hayana chama lakini ukijani umetamalaki.

kila la heri katika kuizika demokrasia. mtakumbukwa kwa hilo.
 
Kuna watu humu huwa wanatueleza kuwa jafo ni presidential material! Lakini uchaguzi huu utamuacha uchi kabisa, hadi sasa amebaki na boxer tu
 
Baada ya kumaliza kusoma huu uzi, na nikatafakari kidogo... Mwisho nimejikuta nasikitika sana maana K-Vant ya leo naikamua kavu.....
Lakini wakati mwingine, kuchamba kwingi ndio matokeo yake wanashikaga na mavi
 
This was so unexpected. ..halafu jamaa anatoa majibu yakitoto kabisa....
 
Iwe kwa maelekezo au kwa maamuzi yako Mr Jafo, Umeshindwa vibaya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.
wewe na mamlaka yako ya uteuzi mmejitia doa kuu. mnahubiri maendeleo hayana chama lakini ukijani umetamalaki.

kila la heri katika kuizika demokrasia. mtakumbukwa kwa hilo.
Na usenior wako wote jukwaani hapa unakuja kuandika upumbavu kama huu
 
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
dah sio mwepesi sana kucomment ila when it comes to this type of shit that you have posted Mungu akulipe sawasawa na matendo yako kigogo unayejiita mwananchi
 
Craaaaap chadema act na chauma msirudi nyuma kwani lengo lao lilikuwa Nini? Mnavunja Sheria makusudi umma ukiamka ndio mnajirudi endeleeni na uchaguzi wenu maana tayari mna plan B baada ya plan A kushindwa mnatengeneza fitina kwenye taifa halafu mpaka tupige kelele pumbavu tungekaa kimya jeeee?

Mbowe na wenzako kamatia gia walishatingisha kiberiti acha tuone mwisho wake utabiri utimie tulijenja nyumba moja wakati wa kikwete sasahivi magufuli anatugombanisha tugombee fito go on
S
 
Kwenye demokrasia geresha ndio kuna mambo ya mapingamizi na kuengua wagombea ili kuondoa ushindani.

Sheria na kanuni zote zinazoipa tume mamlaka ya kupokea mapingamizi na kuengeua wagombea zinapaswa kufutwa kwa sababu zinakiuka msingi mzima wa demokrasia ya vyama vingi na ushindani.

Sheria inapaswa kuwa kwamba wagombea waenguliwe kama sio raia au ni whalifu tena kupitia mahakama na sio tume au kamati.
 
Back
Top Bottom