Day 7️⃣ :TZS10k to TZS 1.0Mil. Challenge ⚽ Tunaendelea.. System bet 3/5

1590757219735.png
 
@Mr beby unataka kumwingiza mwenzako mkenge. Eti under 3.5 hata yakifika manne ni sawa! hizo ni hesabu za darasani ambazo kwenye kubet ni useless
EUROPEAN TOTAL IKO HIVI;
OVER 0.5 = Goal 1 na zaidi (lisipotokea goal umeliwa)
UNDER 0.5 = lisitokee goal kabisa
OVER 1 = Goal 2 na kuendelea (likitokea goal 1 unarudishiwa hela yako full)
UNDER 1 = lisitokee goal(Likitokea goal 1 unarudishiwa hela yako full)
OVER 1.5 = yatokee magoli mawili na kuendelea (likitokea goal 1 umeliwa)
UNDER 1.5= Litokee goal 1 au 0 (yakitokea mawili umeliwa)
OVER 2 = Yatokee magoli 3 na kuendelea, (yakitokea goal 2 unarudishiwa hela yako full.)
UNDER 2= Litokee goal 1 au 0 (yakitokea goal 2 unarudishiwa hela) Mfumo ni huo huo wa kuongezea 0.5 kwa OVER na kutoa 0.5 kwa UNDER.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom