leloic
JF-Expert Member
- Apr 6, 2013
- 999
- 2,702
Haina shida nmewithdraw imekubaliBetia, halafu uTest mitambo kutoa pia.
Haina shida nmewithdraw imekubaliBetia, halafu uTest mitambo kutoa pia.
Naona bado mgeni kwenye hii biashara yetu yaani hujui iyo kampuni teh tehHii kampuni gan mkuu?
0920.Namba ya kampuni ni 400700....Naomba kujuha Referrence #
Duuh!...nimeCharti nao....Haina shida nmewithdraw imekubali
Mkuu, nahisi kuna mambo ya kuwapa namba za kitambulisho.Vipi tupe mrejesho imekuja baada ya muda gani au haijaja mpaka uwa WhatsApp M-lipa?
Haya yatakuwa mambo ya M-bet unatoa pesa saa tatu asubuhi inakuja saa nane mchana manina
Haifanyi kaziWakuu kuna aliyejaribu hii huduma ya voda Visa card inafanya kazi kweli
Sportpesa mi naona wako poa sanaKuna genge la kutetea ujinga wao liko humu.
Zinatumwa kwenye hiyo namba uliyosajiliaWakuu mm nkiingia 1*bet ndo nakutana na hyo ktu je hzo code nazipataje?View attachment 1228191
Nimekuelewa mkuuUSIWACHEKE SANA HAOO NDIOWALICHOMA ZIKAONDOLEWA HUJUI WANAKUJA NA STYLES GANNTHIS TIME
Wakuu mm nkiingia 1*bet ndo nakutana na hyo ktu je hzo code nazipataje?View attachment 1228191
Wakuu mm nkiingia 1*bet ndo nakutana na hyo ktu je hzo code nazipataje?View attachment 1228191
Imetiki tena aseeBado nawasikilizia mkuu
Hitimisho
Tunarejea 1xbet kwa nguvu zote, hata tukiliwa lakini mrusi ametuwekea uwanja mpana. Kwaheri sportpesa na 20% yenu na ndugu zenu wote.
Makampuni gani mko hapa hapa bongo mnashindwa kuweka mechi za tz lakini kampuni ipo kwa putin inatuwekea!
Website gan hyo chief, ipo play store?Imetiki tena aseeView attachment 1228202