1xbet imerudi watu nao wameanza kutoa ushauri kwenye pesa za watu ambazo wenyewe wameona wazitumie kwenye matumizi hayo.

Kama kampuni za kitanzania mnataka kuwa bora kwanini ubabaishaji uwe sehemu ya biashara yenu? Nani asiyependa sehemu nzuri, nani hapendi kubet masoko zaidi ya 800 nani anataka kuona upuuzi wa Mbet na Betpawa?

UKIONA MTU ANAENDA 1XBET UJUE ANAENDA KWA PESA YAKE WALA SIYO PESA YA FAMILIA YAKO AU BABA YAKO.

Nawe unabaki kampuni uliyoichagua kwa pesa zako mwenyewe.
Halafu na wewe rudisha ID yako ya mwanzo kama 1xbet walivyorudisha mobile payment
Nilikuwa naipenda
 
Natest mitambo
Screenshot_20191009-235733.jpeg
 
PALE UNAPOZALIWA NA 1*BET
ASIKWAMBIE MTU


10-10-XXXX
HBDAY2M
THX LORD...
 

Attachments

  • VID-20191009-WA0133.mp4
    1.4 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom