Ngoja nilewe bwiiii ndio niweke mikeka,hapo namuua mtu bila kumuangalia usoni,nimeliwA sana wiki hii.ngoja nijaribu hii mbinu
Nilliweka bet nikiwa club nimelewa kinoma nikaweka odd za kutosha na stake yakutosha bila kuwaza ngoma ikatik ilikuwa ijumaa jmosi yake Bayern Munich alikuwa na game nikamuua odd 19 dahh ndo ilikuwa pesa ndefu niliyo wah kula
 
Bila ukauzu muhindi anapita nawe
Nilliweka bet nikiwa club nimelewa kinoma nikaweka odd za kutosha na stake yakutosha bila kuwaza ngoma ikatik ilikuwa ijumaa jmosi yake Bayern Munich alikuwa na game nikamuua odd 19 dahh ndo ilikuwa pesa ndefu niliyo wah kula
 
Mkeka...
20190919_163056.jpeg
 
Habari njema kwa wadau wa 1xbet Kuna betting inaitwa fan sports betting ina option zote za 1xbet kuweka kiwango chini 25,677 kutoa 3500/= tu kwa wale wadau tunaotumia prepaid card tu hii ipo vizuri Sana njia nyingine za kutoa ni majanga tu
Screenshot_20190919-164116.jpeg
Screenshot_20190919-164247.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom