Hela ya kubet hata kuifanyia biashara ni ngumu sana, mana betting haitofautiani na mtu aliye machimboni,anaweza ktumia mda wake mwingi kuitafuta hela. Siku akiipata hela anasahau shida kabsa, anamaliza pesa zote mwisho wa siku unamkuta shimoni tena, na mtu anae beti alishazoea kupoteza si kama mfanya biasara anaekusanya hela kwa vipimo vya vi baba vya mafuta.pia kamari ni tabia, kuna mtu hawezi kulala bila mkeka,

Tena wapo wale wa jero jero kwenye mashine huko ndo balaa, ukiingi kwenye maofis ya betting utazani umeingia jehanam, joto kali ila watu wamo tu, hao bila mkeka kwa siku hapati usingizi, na wanabahati vibaya pamoja na matreni yao.
Huu mchezo usivyo na adabu utakuta nusu ya hiyo hela inaishia tena kwenye kubet.
 
PICK UR BEST
ALL D BEST
Screenshot_20190826-135304.png
Screenshot_20190826-135543.png
Screenshot_20190826-135508.png
 
Naomba kujuzwa kampuni ya betting kwa tanzania ambayo unaweza Deposit bila makato,ukiacha Betpawa (through tigopesa)
 
Shukrani
Anzia na Betpawa. Web yao iko vizuri inaeleweka sana hasa kwa wanaojifunza Kubeti. Hata kwenye malipo wapo vizuri. Hata ushinde Milioni 10 mzigo unaingia kimyakimya hawana usumbufu wa kudai kitambulisho au kukuita ofisini eti upige nao picha kama Sportpesa wafanyavyo.
 
Mkuu hayo makampuni ya ajabu ajabu watumiaji wapo wachache mmno
Mtu hawezi kukujibu kwa kitu hajawahi tumia

Na kwanini umechagua hiyo kampuni labda?
Mkuu playa master sio kampuni ya ajabu hata kidogo.

Inaweza kuwa ndio kampuni inaongoza kwa kuwa na option nyingi. Tanzania akifukuzana na meridian na galsport.

Hakuna longo longo kwenye kuweka na kutoa hela hata chembe.

Wana cash out pia
Slip ikiwa na match kuanzia tano na odd zikiwa kuanzia 1.35 kwa kila game unarudishiwa stake yako.
 
Wakuu toto jackpot 1xbet dau limefika 1 billion Tsh.

Nimejaribu kuload pesa kwa mpesa MasterCard ngoma imebuma.

Yamebaki masaa mawili tu aisee.

Msaada tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom