Yapo leta 10000 nikupe Odd 50000. Mtanzania kuamini hadi aone kwa macho.
Sasa si ucheze wewe hizo Odds 50,000/= upate pesa?Kwanini sasa unalia njaa na unaomba upewe elf10 wakati una Odds 50,000/ ambazo we mwenyewe ukiweka buku tu utapata mil50.....Ebu acheni ujinga aiseee
 
Odds nne za hapa hapa nyumbani.
home 1.png
 
Mtu anacheza inplay basketball anatupiaje tips kabla!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Before hujaweka ndoano inabidi upite sofa score ucheki head 2 head points zilikuaje...hapo utakua na makisio yako tayari then unaweza kuvizia...
Nilitoa ka tekniki fulani hivi ka kutafuta wastani wa points kwa game husika..

mfano game hii hapa chini ukicheki hapo kwenye red wastani ni 131...kwahiyo unaweza kuwa makisio yako kwamba game inaweza kutoa points zaidi ya 130...unarudi kwenye betting company yako unachek kama kuna option yenye points hizo au inayokaribiana nayo hapo unatega....unaweza kusubiri ikiwa bado haijaanza ukatega, au ukasubiri ianze then unatupia ukiwa tayari una makisio yako pembeni...

Njia ya pili ninayoitumia mimi ambayo so far haijaniangusha sana, ni kusubiri game imalize kwota ya 2 yaani half time,,,then unajumlisha points zote za hizo kwota 2 jumla yake unazidisha mara 2..mfano game imetoa halftime points 75..utaizidisha mara 2 yaani 75x2=150...hapo ntaweka ndoano yangu kwenye points ya over 150-160.....

Kwa hizo njia mbili nahakika hutakosa ya supu mkuu...kila la kheri!
IMG_20190220_150409_384.jpg
IMG_20190220_145641_378.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayecheza inplay basket, football au Hata isipokuwa Inplay Kwa mchezo wowote ule kinachotakiwa humu sio kupost kabla ila Cha msingi ni kutoa mbinu unafanyeje Kuotea mpaka kumpiga Kanji kwahyo Maana kushare tips Kunasaidia but kwa muda mfupi ila Mbinu zinasaidia milele


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimeshatoa mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu samahanini sana kwa kuingiza mada tofauti humu.......Nimepata trip kidogo ya kwenda Kampala but sina passport na nimejaribu kuuliza utaratibu wa kupata passport nikaambiwa I must have national ID ambayo sina pia.....Naomba kuuliza hadi sasa huu mchakato wa kujiandikisha na kupata kitambulisho bado unaendelea au walishasitisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilisema mecha ya liverpool na barca first half hazito toa goli..kama kuna waliofuata haya ngoja tutafakari game za leo nina mashaka na game ya mancity leo lolote linaweza likatokea kipindi cha kwanza
 
Sasa si ucheze wewe hizo Odds 50,000/= upate pesa?Kwanini sasa unalia njaa na unaomba upewe elf10 wakati una Odds 50,000/ ambazo we mwenyewe ukiweka buku tu utapata mil50.....Ebu acheni ujinga aiseee
hiv hawa jamaa huwaga ni matapeli juzi kidogo niliwe elfu kumi na tano nikamwambia nina elfu kumi jamaa akaringa kwanza baadae akaja tena mbio anataka nimpe ile elfu kum et kisa game moja ilikua tayar ishaanza kwahiyo zimebaki mbili..wazo likanijia kabla ya kumlipa ngoja nizame jamii forum kwanza niangalie hizo fixed matches nikakuta wadau wanasisitiza kua hakuna kitu ni utapeli tu...na hii ulivyomjibu huyu jamaa hapo umezidi kunifungua akili shukran sana
 
Wakuu samahanini sana kwa kuingiza mada tofauti humu.......Nimepata trip kidogo ya kwenda Kampala but sina passport na nimejaribu kuuliza utaratibu wa kupata passport nikaambiwa I must have national ID ambayo sina pia.....Naomba kuuliza hadi sasa huu mchakato wa kujiandikisha na kupata kitambulisho bado unaendelea au walishasitisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
jaribu kwenda kwenye ofisi ya serikali za mtaa watakupa muongozo kama ulikosa kwa kipindi kile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom