mwakey
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 429
- 406
And that is after seventy something hours au within 24 hours!watarefund hiyo match nadhani tutalipwa kwa game zilizobaki
but odd itarudi kwenye 2+ nadhani
And that is after seventy something hours au within 24 hours!watarefund hiyo match nadhani tutalipwa kwa game zilizobaki
but odd itarudi kwenye 2+ nadhani
mchana huu nadhaniAnd that is after seventy something hours au within 24 hours!
or over 3.5 odd 2.8+
Ligi ya nchi gani hizi timu?
or over 3.5 odd 2.8+
slovakia lig 2Ligi ya nchi gani hizi timu?
princess betKampuni gani hii mkuu..
Mkuu unamaanisha 78000 au 7800???Kwel wanasema bet kistaarab...jana nilianza na mtaj wa buku,had ukafkia elf 78..sasa zile match za usiku,akina germany etc,...ndo zkanifilisi,yaan niliporomoka toka elf78 had sasa nacheza wajapan hawa asubuh nna mia7 tuu,jinsi nilivyoporomoka,yaan hapa et nawaza niweke buk10 nianze tena..
Nilichoamua sasa,..nkifikisha zaid ya elf 50 na kuendelea,hzo za ziada natoa nabak na elf50,hii imeshanitokea zaid ya mara 4 now sikomi.
Every game has rules wakuu,tu bet kistaarab
Premeir betKampuni gani naweza kupata option ya yellow cards kabla ya inplay naona 1xbet sometimes inazingua hii option
Yaah inplay,mi ni inplay tuu,..beting ya mikeka ming naona ni bahat nasib sanamkuu ni IN Play ama
Mkuu unamaanisha 78000 au 7800???
huwa unacheza options zp mzee, maana mtaji wa buku mpka 78 elf parefu Kwa inplayYaah inplay,mi ni inplay tuu,..beting ya mikeka ming naona ni bahat nasib sana
Mkuu unamaanisha 78000 au 7800???
Betting kama ngada tu ukiwa na salio kwenye akaunti yako utalitumia mpaka liishe ndio utaacha kucheza, me jana pia nilimaliza kila kitu leo hapa natoa macho tu kama mjusi kabanwa na mlango.
mkuu ni IN Play ama
zaidi unacheza option ip mkuuNdo hvo mkuuView attachment 897701