Nimejaribu kupitia nyuzi za nyuma naona watu wanatumia mda mwingi sana kubishana. Wadau betting kama betting usiamini sana makampuni yanayotoa tips. Jaribu kua mfuatiliaji wa ligi mbali mbali duniani ili uweze kutambua ni ligi gani inaweza kua rahisi kwako kukuingizia hela. Betting nzuri anzia na mtaji japo wa 100k, mfano leo kuna mechi ya azam na mbeya city. Kwa mtazamo wa haraka 1X inatoa hiyo mechi. Ukiweka laki hukosi 130k. Mfano mwingine ligi ya NBA bado haijachanganya hivyo best option ni kucheza under ya mwisho kwenye point nyingi. Tusitumie mda mwingi kunishana, ila tujikite kuangalia michezo kama hockey, handball, baseball inaendaje huko. Ss wengine kupitia hii kazi tunajikuta hadi saa nane usiku tunaamka kuangalia mechi Los Angeles Dodgers vs Houston Astros. tuwe serious na kazi jamani. Makampuni hayo fanyeni kama reflesh tu.
 
275551875f953b3f2d7cd7d9880fb486.jpg
 
Kumekuchaa !!!


MFK Karvina - FC Viktoria Plzen
FC Viktoria Plzen
1.59

De Graafschap - Fortuna Sittard
Over 2.5 goals
1.41

Ironi N. - Hapoel Kfar Saba
Hapoel Kfar Saba
1.63

Sadd SC - Al Rayyan SC
Over 2.5 goals
1.52

Al Ahli Doha SC - Al Arabi Doha SC
Yes (Both Teams To Score)
1.50

Arsenal Tula - CSKA Moscow
CSKA Moscow
1.67

IK Frej - Trelleborgs FF
Trelleborgs FF
2.08

Shabab AL Ahli Dubai Club - Al Wahda Scc
Yes (Both Teams To Score)
1.42


Odds: 41.10
 
Jamani princessbet ni kwangu tuu ina matatizo? Tokea asubuhi najaribu kufungua inagoma, mwenye no zao msaada please
 
Mkuu umekwisha jisajili? kama umejisajili kwa namba ya mpesa basi kudeposit utalipia namba ya kampuni 262222 kisha kumbukumbu namba utaweka namba yako ya simu uliojisajilia.
Tayar nimejisajili kwa namba yangu ya mpesa nashukuru Sana kumbukumbu namba ni namba yangu sio thanx sana
 
Nataka nifungue campun yankuweka mzigo, natafuta vijana wanaojua kuanalyse ligi mbali mbali, tuanze kubeti kama kazi.
Note: mtaji nime weka 2 mill.
Tutakua tuna beti mechi sio zaidi ya moja kila mkeka
Mwenye anataka kujiunga na hii safari ani PM kama yupo Dsm tukutane tupange n namna gani tunaweza kuanza kubet, kuchagua kampuni yenye odds nyingi na kuona namna ya kugawana matunda yetu. Ajira hamna sasa tutafanyaje? Wacha tujiajiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom