kiongozi usilazimishe mambo au kupaka rangi upepo# naunga mkono maneno ya walter akitoa mikeka mitatu ya fixed game aliyo kula nampa mara mbili ya iyo pesa
Hiyo ni zaidi ya mikeka mitatu niliyokuwekea.... Acha kukatisha watu tamaa ndugu.
 
Kesho nayo siku.

Tunapigana na adui mmoja.

"Sometimes it's best to walk away and live to fight another day"

"Choose your battles carefully,"

Kiyosaki.

kitabu kimoja cha mbabe wa vita SUN TZU aliweka strategies za kuwina battle
1) Lay plans - Weka mipango yako ya vita kulingana na mapigo na mitindo ya adui yako
2) Waging war - anzisha vita
3) Attack by strategem - shambulia kimkakati kulingana na mipango yako ya vita

sasa hizi mbinu zote tatu za kivita mhindi amenikalisha nkarudi tena kwa mbabe wa vita kuangalia tena mbinu mbadala ya kupambana na adui yako ukizidiwa

4) TACTICAL DISPOSITION - badili mbinu za kumkabili hapa kwa mhindi unaweza kuamua kuchukua soka mechi moja, kikapu mechi moja , au kila ligi usichukue mechi zaidi ya mbili... badilika badilika
5)Energy - tunza nguvu zako kulingana na ukubwa wa pambano na urefu wa vita... hapa kwa mhindi mjomba ni kubeti kulingana na uwezo wako ...la sivyo utakula ada au hela ya pango
6)Weak points and strong points - muangalie adui yako (mhindi ) options zipi kwako ni nyepesi na zipi ngumu... hapa pia unaweza kusema ligi gani unazifatilia vizuri na kuzijua na zipi huzijui vizuri zaidi ya kuangalia odds tu !!!!
7)Maneuvering your tacticts - fanyia mazoezi tactics zako sio lazima ucheze kila siku siku nyingine jaribu tu huyu leo ningempa hivi yule hivi afu angalia je zingetoa!! ukijaribu hivyo mara kadhaa kwa timu kadhaaa utafahamu mienendo yao na wapi pa kurekebisha mbinu zako
8) Variations of Tactics - usipambane pambano zima kwa mtindo mmoja..... mkeka mzima mechi 10 zote option moja hilo ni kosa ... badili options ikiwezekana kila mechi iwe na option yake

hizo ni baadhi ya kanuni za kivita (betting nayo ni vita kali ).... kutoka kwa mbabe wa kivita SUN TZU..... kazi kwenu
 
Wale matomaso wasioamin endeleen kutoamin kama mim nilivyokuwa mwanzo sikuamin kwa sasa n mwendo Wa boom
585e190af6da598fe3f6d4b4b5f2ed44.jpg
IMG_20171027_092206.jpg
Screenshot_2017-10-27-09-22-47.png
 
kiongozi usilazimishe mambo au kupaka rangi upepo# naunga mkono maneno ya walter akitoa mikeka mitatu ya fixed game aliyo kula nampa mara mbili ya iyo pesa
Hili jukwaa limevamiwa na vitoto vya juzi.... hebu nenda ukanyonye aisee.... Nafikiri hata humjui mtu unayeibishana naye.... sina muda mchafu wa kubishana bishana hovyo hapa na wewe, zaidi ya kukukaribisha tu.... Karibu kwenye jukwaa.
 
sawa kiongozi ila tambua i biashara nimeianza nina mwaka wa 9 now sijaianza juzi wala jana na naijua kuliko usemavyo# nimesema ivi # usinipostie application weka mkeka wako uliokula pesa nyingi kwa kufata iyo application naomba mikeka mitatu tu # nakutumia pesa yako now mara mbili yake # i swear
 
Kwa faida ya nani na ili iweje?.... Huna uwezo wa kunilipa hata iweje acha mambo yako ya kishoga hapa.... Nikiweka usiponilipa nikufanyeje?
 
mi naomba mikeka mitatu uweke apo afu na application ya siku iyo
Take your time, I got no time to argue with a f...ls. Umetumwa na Kanji nini kufanya upelelezi? Nimeweka wa jana, weka na wewe wa kwako wa jana.

Guys msifuate Apps za kijinga, fuateni Apps za uhakika, nahisi humu kuna mawakala wa Kanji wanaofurahia watu wakiliwa.

Wala wasiwapostie apps zao za kipumbavu pumbavu mkazifuata, kuna VIP GOLD BET mmiliki wa wake ni mrusi na yuko fit balaa. Kuna Sepertipsman Special VIP na yuko fit balaa.

Acheni kufuata Apps za kis**nge se**nge ambazo kila siku mnaliwa, nafikiri kuna mijitu humu ni miwakala ya Kanji, so kuweni makini.
 
sijakataa na sikupingi mawazo yako japo unachokosea umeweka 100% sure kua zinatoka na icho kitu akipo # wao pia wanakosea na kama kweli unawaamin ndo maana nitaka nione stake yako ya kuwaamin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom