aisee kama una hela mrudishie huyo Mzee asije akatutoka. Huu mchezo aliyesema bet responsibly or bet what u can afford to loose alikuwa genius. Stake kubwa kuwahi kuliwa ni 953,000 asikuambie mtu aisee unaweza ukadondoka ukafa watu wakasema umelogwa kumbe ni kipigo cha kanji. Sasa hivi nimerudi kwenye stake za kawaida nimeapa sitaweka dau zaidi ya laki moja.
Dah nawakumbuka hao Bolivar tena walipigwa na kibonde wa ligi
 
5e472b594541a6a32e2985bae766974c.jpg

Wakulalia huo
 
aisee kama una hela mrudishie huyo Mzee asije akatutoka. Huu mchezo aliyesema bet responsibly or bet what u can afford to loose alikuwa genius. Stake kubwa kuwahi kuliwa ni 953,000 asikuambie mtu aisee unaweza ukadondoka ukafa watu wakasema umelogwa kumbe ni kipigo cha kanji. Sasa hivi nimerudi kwenye stake za kawaida nimeapa sitaweka dau zaidi ya laki moja.
duuu mi niliwekaga laki moja tena single ikapigwa chap nilitetemeka hadi matako siku hyo daaaa huu mchezo acha kabisa
 
Wajamen wenye mna nyota za kumtafuna kanji.. Hebu weken mikeka tmtafne mhindi kwa msaada wa nyota zenu maana hii hali...
 
aisee kama una hela mrudishie huyo Mzee asije akatutoka. Huu mchezo aliyesema bet responsibly or bet what u can afford to loose alikuwa genius. Stake kubwa kuwahi kuliwa ni 953,000 asikuambie mtu aisee unaweza ukadondoka ukafa watu wakasema umelogwa kumbe ni kipigo cha kanji. Sasa hivi nimerudi kwenye stake za kawaida nimeapa sitaweka dau zaidi ya laki moja.

Daaaah mjomba umenikumbushaa aseee,nakumbuka kipindi flan man city alikuwa kwny fomu hatar ukija lazma ufee tu no way out,tena game ilikuwa na stoke city,kidume nkachukua timu zangu mbili ikaja odd ya 1.67(nakumbuka kbs) afu mzee nkatia kitu cha 1M tena za kukopa asee,Yule mwingine alipeleka vzr Ila man city alitoka 0-0 aseee hasikwambie mtu iyo siku nilihisi natoweka dunian magonjw yote yalikuwa upande wangu siku hiyo.Toka siku iyo stake yangu kubw haizidi laki 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom