Umeiona iyopicha mkeka unataka wote washinde ss inakuaje apokitu kipi?
Kalibu tu share mawazoWakuu kwema, mi mgeni jukwaa hili japo ni mgeni wa kuchangia Ila nipo mda mrefu, naomba ushirikiano wenu mana nimeingia kwa nguvu zote
Nimekusoma ila naiogopa sana ijumaa
kwamimi naona espanyol, guingap derby cheza magoliView attachment 489090 hebu nishauli apo nitatokaje maana nimeweka ALL TO WIN
Nimeibia kwa mdau mmoja wa kitaa hapa,ana upepo flani hivi,nimeona isiwe kesi nijaribu bahati yangu..
odds 17120 dahhhNimeibia kwa mdau mmoja wa kitaa hapa,ana upepo flani hivi,nimeona isiwe kesi nijaribu bahati yangu..
Unamshangaa huyo wa 17000... Je huyu 42000... Upepo tuuDA NA VIROBA VIMEPIGWA MARUFUKU DA TIMU MOJA TU E MUNGU View attachment 484681