6059754784e25bf4eeab037471fe4c8d.jpg
 
Imetik ingawa m nili edt hzo za Qatar nkaweka zangu za England ambazo znatoa GG,uko vzur mkuu.....Unaonaje kesho tusuke GG 5 za uhakka mn naona games nyng
utantag...hii wiki.ilikuwa nzur kwangu GG zimenitoa sana
 
Yaan leo gem zipo kibao na pesa nje nje lakn maajabu ya hii biashara yetu leo ndio unakuta tunapigwa balaaa hiv shida ni nin


shida yetu ni uwoga ...ndio ynafanya tuliwe....

Ona kwa mfano, nachukua mechi moja ya epl.

stoke city - Middlesborough.

Kila mtu ana uhakika kuwa hapa Middles hachomoki, ila tulio wengi hatuamini kuwa kinaweza kutokea kile ambacho tunachokiamini. hivyo tunaipotezea hii game na kuifuata game ya Benfica na mwisho wa siku benfica anatoka sare au anakali...
 
KESHO NI SIKU YENYE GAMES KIBAO AMBAZO KANJ ANAWEZA LIA AU SIS TUKALIA
WAZO LANGU NI KUWA TUTAFUTE TIMU TANO ZA UHAKKA ZENYE KUWEZA KUTOA Goal to Goal(GG)MAANA OPTION HII HUWA NA POINTS NYING SANA,THEN TUTAMIX NA GEM ZA UHAKKA KAMA ZA KINA BARCA,MADRID n PSG(hao tutawapa over 1.5 au hata over 2.5)ILA CHA MUHIMU TUCHAMBUE TIMU TANO ZENYE POSSIBILITY KUBWA YA GG,TUMLIZE KWA PAMOJA....all the best:


Nimefanyia kazi ushauri wako, Now wish me Lucky!!!
1.PNG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom