Na leo tena moja tu ndo imechana, BTS ni option yenye odds nyingi sana
f03ec9df8176426cc774c78aa8c17c4e.jpg
Dah! Pole mkuu, ila unakaribia
 
Wakuu hii pesa wataniwekea au inakuwaje? Maana game ya Dortmund imekuwa postponed
IMG_20170301_073633_348.JPG
 
image.jpeg
nikamtoa Newcastle alikuwa na odds kama 9 hiv nikamuweka derby daaaaah... kweli hisia za lwanza zina nguvu
new castle kashinda Derby [HASHTAG]#inplay[/HASHTAG]
 
nilienda ivo lakin nilichofanyiwa na daeg&red dah.
Usitegemee kutengeneza faida kubwa ya muda mfupi mkuu, andaa bajeti yako ya wiki nzima ya kubetia, kwa mfano nina stake ya wiki nzima, kwa kiwango sawa, jumatatu mpaka ijumaa bajeti yangu ni laki 1 inategemea na uwezo wako, kila siku nitabeti kwa elfu ishirini kwa kila siku sizidishi wala sipunguzi, jumamosi na jumapili bajeti yangu 50,000 haizidi wala haipungui haijalishi nina pesa kiasi gani, kwa mfano hiyo pesa iko pending lakini leo mpaka jumapili nina pesa yake, sibeti kwa tamaa, nabeti kwa tahadhari ili nilichokiweka kirudi na faida, jumapili nafunga hesabu.
 
nilienda ivo lakin nilichofanyiwa na daeg&red dah.
Kuna kupoteza, ndani ya wiki unaweza kupoteza mara moja au mbili, lakini ukiwa unacheza kwa kanuni maalum faida utaiona mkuu, lakini ukicheza tu hivi hivi bila kanuni maalum leo unapoteza laki 5, kesho milioni, ukipata pesa yote unaitumbukiza tu kwenye betting ili upate faida kubwa, hapo ndipo tunapomtajirisha Kanji.
 
Usitegemee kutengeneza faida kubwa ya muda mfupi mkuu, andaa bajeti yako ya wiki nzima ya kubetia, kwa mfano nina stake ya wiki nzima, kwa kiwango sawa, jumatatu mpaka ijumaa bajeti yangu ni laki 1 inategemea na uwezo wako, kila siku nitabeti kwa elfu ishirini kwa kila siku sizidishi wala sipunguzi, jumamosi na jumapili bajeti yangu 50,000 haizidi wala haipungui haijalishi nina pesa kiasi gani, kwa mfano hiyo pesa iko pending lakini leo mpaka jumapili nina pesa yake, sibeti kwa tamaa, nabeti kwa tahadhari ili nilichokiweka kirudi na faida, jumapili nafunga hesabu.
tamaa huwa inaniponza sana mm kutaman hela mkubwa fasta damn it..
bt daeg&red ndo alikuwa chaguo LA kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom