IMG_5845.png

 
Wakubwa nahitaji msaada
Kila nikijaribu ku log in kwnye account yangu ya Meridianbet inasema player has been deactivated
Sjui tatizo ni nn kila nikijaribu kupiga simu siwapati mbaya zaidi nmeacha hela nyingi kwenye hio account
 
Uko vizuri mzee, tupeane utajiri huo
Mkuu nacheza live tu
Kuna muda Mrusi huwa anaweka odd kubwa afuu ukipiga hesabu la haraka haraka unaona kabisa hii pesa .

Sema betting ni imani tu boss siwez sema kuwa naweza hapana ntakua muongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom