Gal wamegomea mkeka wangu huu sielewi ni kwanini?...wakati ukiangalia nimetabili sare moja wapo ya mechi...sielewi...nimeduwaaa!
 

Attachments

  • leo 1.JPG
    leo 1.JPG
    16.2 KB · Views: 3
Mnaolalamika kodi 22bet muwe mnasign in kupitia opera mini halafu usiingilie kiungwa cha .co.tz bali ingia 22bet ya Naijeria na Ug (sijui ni nchi gani hii maana hawajaandika ilikosajiliwa)
kurahisisha ingia kwenye opera, sehemu ya google hapo andika 22bet.ng au 22bet.ug then ingia.
USIQUOTE HUU UJUMBE MAANA ASUBUHI NITAUFUTA ILI KUWAKWEPA TRA, UKIQUOTE, USHAHIDI UTABAKI NA WATAZIFUNGIA WEBSITE HUSIKA.
 
Nimetembea magroup mengi ya kubet

Niseme tu ,hapa dunian hakuna mtaalamu wa kubet ,

Unakuta mtu upepo umemuelekea kawin mara tatu mfululizo ,anajiona gwiji anaanzisha group et anauza odd ,badae vipigo vinaanza anakimbia hadi group lenyewe

Hakuna sure odd

Fanya analaysis mwenyewe weka hela
Hahaha mimi nilianzisha gurupu badae nikala kona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom