Wazee wenzangu. Kuna hii ofa 2000 ya kubetia kwa wale wenzangu na mimi tunaweza fanya kama mtaji. PM nikuelekeze cha kufanya
 
Unachosema. Ni Kweli Mkuu
Lakini Naomba Nikukumbushe Tu Idiot Alishawahi Kuweka Hapa Mkeka Kwa PDF Una 90+ Odds.

Nadhani Wote Ni Wajanja Tunajua Mikeka Iliyokuwa Edited, Ila Hii Hapana.

Mimi Ni Mmoja Kati Ya Waliomfuata PM, Hajaniomba Pesa Hajaniomba Chochote Kanipa Stategy Ya Anachokifanyaga Na Website Anazofanyia Analysis

Inawezekana Akawa Anafuta Mikeka Aliyoliwa Lakini Kula Ni Kweli Anakula.

ODDS Mlima Ni Ngumu Kuzipata Lakini Hebu Tupige Hesabu Rahis

Ukipata ODDs Za 2.6 Tano Una More Than 120+ ODDS

Unadhani Hiyo Haiwezekani Kweny Mchezo Mama Ice Hockey Ambao Wengi Hatuhujui.?????

Kuhusu Kutuma Na Kushare Mikeka Ni Uamuzi Wa Mtu, Kuna Watu Humu Walikuja Na Wakasema Kabisa Kuwa Waki Share Mikeka Inaliwa Ila Wakifanya Wao Wanatoboa, So Tubeshimu Alichoamua Cha Msingi Na Kumuomba Awe Anashare Nasi Hata ODDs Tano Au 6.

TUSILAZIMISHANE, TUKUMBUKE KUTOA NI MOYO.

Mkuu hakuna sehemu nimemlazimisha atume tips
Najua kuna watu wanapiga sana hela kwenye betting lakini sio kwa odd hizo,
formula kubwa ya wakamaria waliofanikiwa duniani ni stake kubwa odd ndogo
Haishangazi hata kidogo mtu kustake mil20 kwa odd 2 akala mil40
Lakini inashangaza mtu kupiga back to back odd 150 mara 5 kwa siku
Kinacho umiza wakamaria duniani kote ni mkeka wa odd nyingii
Ndio maana unaona tunalia kila siku una weka buku unataka malaki........infact ndio anachofanya jamaa anaweka 20k anakula 3m
Hapa ndio wasi wasi unapoingia
Wote tuna bet mkuu tunajua huu mziki, odd 150 ni almost umechagua games ambazo probability ya ushindi ni chini ya 30%
You need more than luck kupiga back to back mara tano kwa siku hata kama unabeti mikeka 100
Inawezekana ikawa ni kweli anakula, kinadharia inawezekana kabisa lakini kimahesabu probability inawia vigumu kuamini, vinginevyo atakua ni mtu mwenye bahati sana sana

Mkuu zipo option hadi za odd 300 kwa game moja na zipo option za odd 1.001 kwa game, haijalishi ni game ngapi bali the more odd the more ugumu wa kushinda. Watu tunatoka jasho na odd mbili tu kuipata kwa siku

Mwisho sija sema moja kwa moja kama jamaa ni tapeli ila wapo wengi walikuja na gia hizi za kupost won za hatari, ukimfuata pm anauza odd
 
Ok Your Are Right
 
Bro tupia basi odds 2 za Leo Mkuu
 
MAGAZETINI

YYANGA YAKUTANA NA UPEPOO WA. KISULISULI TOKA MISRI

AISEEE...ANAWAONA WAANDISHII
 
TAHADHARI KABLA YA HATARI

With all due respect mkuu am not here to disrespect you or anything stuff like that

Nimekua hapa jukwaani kwa miaka mingi kidogo na kwenye magroup mengi tu WhatsApp na Telegram , so nina uzoefu wa kutosha na ninacho kiandika

Maranyingi sana, kama sio mara zote ukiona mtu anapost mikeka ilioshinda tena kwa namna ya kipekee bila ya kuipost mikeka hiyo kabla anakuaga ni scammer ame adit mikeka.........prove me wrong

Upo jukwaani hapa unapost won tu tena za hatari kwanini usipost kabla wadau wafaidike? Unatumia 1xbet ni swala la ku share code tu

In real sense kupata odd 100+ sio jambo la kitoto hata siku moja toka betting imeumbwa
Wakamaria wakubwa duniani hakuna aliyefanikiwa kwa odd mlima ila kwa odd za uhakika
How dare unapiga odd 100+ back to back hadi mara 5 kwa siku? Seriously odd 150 mara 5 kwa siku?..........hand up mkuu
Utasaidia wengi wa stake za 1,000 kwa odd 100 ni laki, hata aki lose mara 50 aki won mara moja tu anapata faida 50k

Wamekuja wengi sana kwa gia hii ndio manna kuna hofu na mashaka. na kwakuwa haupost kabla utafuatwa DM kwakuwa watu wanaliwa sana wakijua wamepata mkombozi, hapo ndipo wizi wa utapeli unapo anzia.....DM
Ili usiwe kama wao post kabla mkuu, tupia code

Najua wapo wadau watahisi nakuonea wivu but prove me wrong mkuu
Acha kupost won, anza kupost tip share na wadau kama wanavyofanya akina proffesor, Void nk
Utasaidia wengi kujikwamua kwa ubashiri wako wa uhakika na odd za maana

Wadau mnaokimbilia DM msije kulia lia mmetapeliwa
You have been warned
 
Jaman option ya under 2.5 sijawah kosa toka nimeanza kuicheza ninachoanalyse natafuta odds 1.50-1.59 bas

Jana nilicheza Mara NNE zilitoka zote.kampun za kucheza sportpesa,Parimatch and gsb

Mech za Leo odds 1.54.
Serbia
1.Fk Graficar Beograd

Greece
2.Ergotelis

Morocco
3.Difaa El Jaddidi

Italy lega Pro B
4.Triestina Calcio
5.Imolese Calcio

Israel
6.Maccab Tel Aviv

29/10/2019
Brazil serie B
7.Parana PR

NB:hapo ukiend kuplace bet angalia mech hiyo nimeweka moja tu
Sawa
 
....
Screenshot_20191028-134044.jpeg
 
Wale wa jackpot 10 million hiyo hapo kazi kwenu sipendi niwanyime hela Mimi,, ukila tukutane kwenye K-vant na Nyama choma na kitimoto,,
 
Attachments

  • Screenshot_20191028-135918.png
    Screenshot_20191028-135918.png
    32 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom