MSAADA: hizi bonus za 1x bet nazitumia vipi maana naona zimegawanywa mara mbili lakini kila nikitaka kuzibetia naambiwa opyions zangu haziendani na masharti ya bonus?
 
Hii ni handball haina set wanacheza dakika 60 anaeongoza ndo mshindi ( handball na volleyball nacheza under tu coz wengi wao hawafkii points) hizo ni match 4 cjui hivi odds 12 won elf10800 hapo ninachofnya nawithdraw naeka pemben elf10 kwnza naituma tigo pesa then NMB account nissione kabsa ili kilchokwenye account yngu nikitumie vzur sifkirii kua elf10 kwa mkeka mmoja ni kidg kwa mm View attachment 1233904
Mkuu we shida yako muoga..si uweke hata 3000 hapo!
900 ni nin hicho?
 
Ngoja nije huko nitest mkuu,naona mambo si mabaya.asante kwa kushea maujanja.
Hii ni handball haina set wanacheza dakika 60 anaeongoza ndo mshindi ( handball na volleyball nacheza under tu coz wengi wao hawafkii points) hizo ni match 4 cjui hivi odds 12 won elf10800 hapo ninachofnya nawithdraw naeka pemben elf10 kwnza naituma tigo pesa then NMB account nissione kabsa ili kilchokwenye account yngu nikitumie vzur sifkirii kua elf10 kwa mkeka mmoja ni kidg kwa mm View attachment 1233904
 
IMG_20191015_133849_761.jpeg
 
Mm handball sina ujuzi nayo natumia uzoefu tu ila ninachofnya nacheza under tu wanakuwa wanapewa under 48.5 49.5 50.5 53 53.5 58.5 60 kwaio dakika 30 wanacheza break wanarud dakika 30 ila unakuta mpk 30 minutes Kuna points 18 mara nyingi kwneye dakika 60 kuna points 48 45 50 51 mm strategy yngu ni kuwa sichezi match yyte yenyew under 49.5 Mana sometimes wanafka 50 nacheza kuanzia 50.5 labda kwa league ya Kenya ndio nacheza hiyo under 49.5 na chini yake Mana unakuta kila dakika 15 Kuna points 7 ,8 dakika 30 unakuta Kuna points 20 tu ndio najiripua na under 49.5 ( match zote nilzocheza under 51.5 zimewon labda moja ambayo ilizid kwa points 2 Mana walipga penalty sana kwenye dakika 55 ndio vikazidi ila wacpopiga penalty bac kwenye dakika 10 hawapat points hata 14 kwa match zote
 
Wadau wenzangu naona jinsi mnavyopata shida 1xbet sasa msijali mkombozi wenu nipo hapa jambo la kuzingatia unapofungua akaunti mpya tumia one click registration chagua nchi na hela yaani shilingi usiweke namba ya simu ili usije kudaiwa verification code pia kama unataka full registration weka email tu usiweke namba ya simu namba itatumika kwenye kuweka na kutoa tu
 
Wakuu maombeni kuuliza hii promo code ya 1xbet INA faida gani na inapatikana vipi? Kwani kuna group moja jamaa amejaribu kihoji hata amepewa majibu ya moto ma kuondolewa kwenye kundi.
 
Football Betting ni LOGIC, bila kuzingatia sijui ukubwa wa odds.
Over!
Mkuu, kama hizo kanuni za kwenye rate & variation na logic, ndo zingekuwa kigezo Cha kushinda betting basi kusingekuwa na betting at all, na hayo makampuni ya betting yangetangazwa kufilisika.
 
Kama hukusoma topic ya LOGIC(Advanced Mathematics) na pia Rate & Variation olevel basi usithubutu kubet utapigwa mpaka uchakae
Mhh ingekuwa ulichosema kinaaply basi ingekuwa jackpot inapata washindi daily kifupi kampuni za betting zisingesurvive maana wangeliwa kila siku na watu wengi sana, kwani wewe mwenyewe au wenzako kwa kujua hizo hesabu mmekuwa mmemla sana Kanji?? unanikumbusha kuna mtu alibet mara kadhaa kwa kuapply hizo hesabu zako na aliishia kuchakazwa kila mkeka aliocheza na kubeti ameacha shubaaamit. Kuna advanced and complex statistical application tena zinaincooperate mpaka human i.e. neural kwenye betting prediction na still kanji anawachakaza watu
 
Ukijifanya mjuaji sana ndio unaweza kula visago uchakae.
 
Mhh ingekuwa ulichosema kinaaply basi ingekuwa jackpot inapata washindi daily kifupi kampuni za betting zisingesurvive maana wangeliwa kila siku na watu wengi sana, kwani wewe mwenyewe au wenzako kwa kujua hizo hesabu mmekuwa mmemla sana Kanji?? unanikumbusha kuna mtu alibet mara kadhaa kwa kuapply hizo hesabu zako na aliishia kuchakazwa kila mkeka aliocheza na kubeti ameacha shubaaamit. Kuna advanced and complex statistical application tena zinaincooperate mpaka human i.e. neural kwenye betting prediction na still kanji anawachakaza watu
Sawa nimekuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom