Leo nimetoka hivi kwa wale wapenda option ya sub. View attachment 1221509
Mkuu mbona hii sub over 5.5 kwa game hii odd zipo juu sana kwenye 1xbet?

Game zingine odd ni 1.2+
Screenshot_2019-10-02-18-38-18-1.jpeg
 
Kama una 1m basi laki2 ya bure hii
Kama una laki1 basi elf20 ya bute hii
Screenshot_2019-10-02-19-58-54-1.jpeg
 
Ukitaka siku moyo wako au nafsi icheke chukua karatasi au cheza fastbet na usilipie mkeka alafu uje uangalie matokeo utapata majibu
 
Sioni dalili ya Genk Kushinda hii game.

Zaidi zaidi
hii game itatoa kona nyingi mno maana wote wanategemea sana mipira ya cross kupata matokeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom