So sad game ya watford ndio imeniumiza leo kwenye sub. Ila spurs ya mwisho ilikuwa ya wanyama dkk ya 90+3
Pole sana mkuu EPL niliwakagua nikaona wanafanya sub kimagumashi so sikutembea nao Jana kabisa...Leo nimetembea na team 10, 5 tayar zimeshatoa 5 zingine nazisubiria. Nimetembea league ya Italy, Hispania, uholanzi, na German huku ndo angalau team zinakuwa zinafanya sub sana
 
Huwezi kosa pesa ukichukua baadhi apa

Direct win

Fc Basel 1
Connah Q 1
PSV 2

Over 2.5
Rapid Vienna
Lazio
D/Kyiv

Double chance

Leicester 1x or win either half
St. Liege win or draw & over 1.5
Ludogorets win or draw & over 1.5

Btts-Yes
V/plzen vs S/Prague
Az alkmaar vs herarcles
Mpaka sasa hizo hapo mwanzo zimetoa.
 
Pole sana mkuu EPL niliwakagua nikaona wanafanya sub kimagumashi so sikutembea nao Jana kabisa...Leo nimetembea na team 10, 5 tayar zimeshatoa 5 zingine nazisubiria. Nimetembea league ya Italy, Hispania, uholanzi, na German huku ndo angalau team zinakuwa zinafanya sub sana
Hata Germany nao leo mwenzie Freiburg nae kashazingua.
 
MINNESOTA WILD

WINNIPEG JETS

Double Chance (1st Period): 12

1.44

CAROLINA HURRICANES

WASHINGTON CAPITALS

Double Chance (1st Period): 12

1.45

RIMOUSKI OCEANIC

DRUMMONDVILLE VOLTIGEURS

Double Chance (1st Period): 12

1.39

CALGARY HITMEN

MEDICINE HAT TIGERS

Double Chance (1st Period): 12

1.41
 
Taratibu tuijongee pesa yetu ....
Screenshot_20190929-192808.jpg
 
Bancabc wana mawakala wao baadhi ya maeneo hapa Dar... Vilevile unaweza kuweka pesa kwa kutumia tigo pesa, mpesa, halopesa, Airtel money bila tatizo lolote tena faster tu...
Hiv hii haisumbui kuweka hela kwa mpesa ukizingatia mawakala wa hii benk hakuna, mana hiz zingine kuweka kwa mpesa ni hadi uwende mahakamani ndy itafanikiwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom