Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,151
- 4,717
Leo kwa mara ya kwanza epl ndio imenipa hela kupitia VAR.
Uchawi unaelekea kutimia.acha uchawi na wanga mkuu
Sio uchawi,tot hana record nzuri AWAYUchawi unaelekea kutimia.
Mbn ipo parimatchWakuu hivi Ligi Kuu Tanzania ndio haibetiki??? Brokers hawaitaki au shida nini??
kweli mchawi na ndiyo ilivyokuwaUchawi unaelekea kutimia.
Unauliza au unatujulisha mkuu?Wadau 1xbet Kenya ishakaa poa upande wa safaricom kudeposit
Hata siamini Tottenham alivyonilaza kifo cha mende na kunichania mkeka wa pesa ndefu!!!Leicester win
Coincidance? Kwann washindi wawiliwawili? Au mmoja kakatwa kidizain flanWAKATI UMEFIKA WA KWENDA KWA BABU KIGOMA ANIPE KISMATI CHA KUWIN JACKPORTView attachment 1212689View attachment 1212690
Leicester win
Mr. mimi nimehamia ICE HOCKEY kuna PESAUko vzuri
Mr. cheza ICE HOCKEY option ya GG na over(goals)Uko vzuri
ipo kwenye wep yao, ni ya vodawakuu naombeni mwenye namba ya princess bet nataka niwapigie wanazingua malipo yangu