Ukiona hivyo ujue bado hujawa nguli katika huu mchezo hahahaNaikubali sana confidence yako mkuu. Sisi wengine tukiliwa hata elfu tano unaumwa na kuumwa mkuu
Kweli kabisa mkuu,napambana kufika level za akina professorUkiona hivyo ujue bado hujawa nguli katika huu mchezo hahaha
acha uchawi na wanga mkuuLeicester win
Doo UNAUA timuyangu LVE aiseeLeicester win
Hahaha ... umenikumbusha Virtual Games, hatari sn. Yani ni either unatajirika ndani ya dk 10 ama unafirisika ndani ya huo muda.
Virtual ujinga kuna siku nimtoa 1500 hadi 438000
Ikaisha yote