Aaaah professor kitambo saaana
Betting sio nyepesi hivyo.jaman nina buku mbili hapa haina ramani, mwenye mkeka wa odd za 10+ anipe nifate
Asante uwe unatuma kama hizi mara kwa mara.Haya wapambanaji wenzangu tujaribu ilo zigo
HAPANA MKUUMkuu we ndo Kigogo 2014 ?
Hii cagliar hii!
Mkuu Picha unayotumia inawapa watu maswali sana mana huyo kigogo c mchezo!HAPANA MKUU
Commenting and goal tippedHii cagliar hii!
Aisee hii manake ni nini hasa? Kama najichanganya sana kutafsiri hiv ila mech imeisha saiv na ni greenView attachment 1212556
Sielew hapo mana nimetoa vikapu 20 na bado ikawa green na wakat nahic ingetakiwa iwe 90 kwa 69Mhm hapa si ilibidi iwe lose ama???
Ahahah namkubali kinyama anavyowaenyesha watu wa systemMkuu Picha unayotumia inawapa watu maswali sana mana huyo kigogo c mchezo!
Sielew hapo mana nimetoa vikapu 20 na bado ikawa green na wakat nahic ingetakiwa iwe 90 kwa 69
Idiot Ndugu Yangu Nashukuru Sana Tena SanaHaya wapambanaji wenzangu tujaribu ilo zigo
Mimi napiga zangu hela kwenye online casino huko. Ndani ya nusu saa tu unakuwa tajiri au maskiniHIVI KWELI WAZEE TUMESHINDWA KUWA MAMILIONAIRE KUPITIA BETTING?