Guys niaje, ngoja niwape experience ya 1xbet.com, ku deposit nilikuwa natumia rcdb card inaenda poa tu. Kutoa ikawa shida, inaniambia kiwa kuna shida kwenye system, hangaika sana. Nikawasiliana nao lastly baada ya wiki nikachoka, nikabetia kwa hasara nikaliwa, nika log outnika delete na App.

Kiukweli 1xbet ni ishu sana kutoa pesa. Nafikiri Betpawa wanaweza kuwa wazuri kwa kuwa hawana kodi.
 
Mm wana M yangu wameishikilia.
 
Aiseee
Screenshot_20190709-204641~2.jpeg
 
kuna mtu ameniomba nimsukie mkeka'nimemsukia mkeka wa timu 8 za uhakika jamaa akatumbukiza stake 20K .
Timu zote zimeshinda amepiga kama mil 3 hivi na something.
Daaah jamaa nimemuona katili kweli yaani kanipa elfu 10 tu kati ya mil 3.qqumaniner zake
 
Hahaaa tenda wema nenda zako mkuu kwani ange lose then akaomba umchangie mgawane hasara ungekubali...
 
*OBSERVATION IS ALLOWED*πŸ˜‚

*Z5H86VN6*βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

Coritiba FC PR - America MG U20
2dnb *0-1*βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

*Stake: ₦ 23,000.00 to 48,300.00*βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

*2.10odds*βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

*Boooooooom*πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ€ΈπŸ½β€β™‚πŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌ

*πŸ™OLUWA BLESS USπŸ™*
 
Na wewe si ungestake mkuu hata buku 2
kuna mtu ameniomba nimsukie mkeka'nimemsukia mkeka wa timu 8 za uhakika jamaa akatumbukiza stake 20K .
Timu zote zimeshinda amepiga kama mil 3 hivi na something.
Daaah jamaa nimemuona katili kweli yaani kanipa elfu 10 tu kati ya mil 3.qqumaniner zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom