PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu!

Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii.

IMG_5118.jpeg

IMG_5119.jpeg
IMG_5120.jpeg
IMG_5121.jpeg
IMG_5122.jpeg


Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya wananchi wametumia fursa hiyo kuonesha msimamo wao kuhusu haja ya mabadiliko ya kisiasa na kisheria kabla ya uchaguzi mkuu ujao, wakisisitiza kuwa pasipo mabadiliko, hawatashiriki uchaguzi.

Jambo hili linaonesha kiwango cha ujasiri na kiu ya wananchi kushinikiza mabadiliko ya kidemokrasia nchini.

Oparesheni hii imeenda mbali zaidi kwani imepelekea hata baadhi ya viongozi na TBC kufunga sehemu ya comments.


IMG_5096.jpeg
IMG_5098.jpeg
IMG_5095.jpeg
Wananchi pia wameigia mpaka kwenye page ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson
Capture.PNG
 
Ndo furaha yangu. Tangu mwaka jana nawaambia
 
Hapa hatuna namna nyingine zaidi ya mabadiliko tuongozwe na viongozi watakaochaguliwa kama sisiemu akishinda ashinde kwa merits kama wapinzani wakishinda wapewe ushindi wao kadiri wananchi walivyoamua No Reform No Election ni agenda ya wananchi 2025
 
Back
Top Bottom