kung'atuka

  1. F

    JamiiForums Tanzania "Ema The Boy" komalia hapo hapo. Hakuna kung'atuka, Waswahili wasituvurugie nchi yetu

    Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga" Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never. Komalia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Panga pangua CCM: Dkt. Migiro kung'atuka, Wasira naye kuondoka

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya uamuzi mgumu wa kuridhia kung’atuka kwa Katibu Mkuu wake, Dk Asha-Rose Migiro na kupitisha jina la kada mwingine kushika nafasi hiyo, taarifa zinaeleza. Mbali ya Dk Asha-Rose, taarifa zinaeleza kuwa Makamu Mwenyekiti, Stephen Wasira huenda...
  3. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Je sheria za nchi haziruhusu kiongozi wa nchi kujiuzulu nakama zinaruhusu ni sifa/vigezo vipi ambavyo kiongozi wa nchi akiwanavy anapaswa kung'atuka?

    Taasisi ya urais imetoa sana kundule kwenye boliti ya wenzao lakini hakuna matokeo chanya. Je nyani haoni macho kwenye vibanzi? Kati ya watu 70miloini hakuna anaeweza bali yeye tu? so Why!? Mbona kama jahazi linazama mdogo mdogo, ina maana hakuna namna yoyote ya kuleta hari shwari! Kama zipo...
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba imethibitisha Murtaza Mangungu kung'atuka kwenye uongozi Simba SC

  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Muhimu sana: Tujikumbushe Ahadi ya Freeman Mbowe kung'atuka 2023

    My Take. Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakupaswa kusubiri watu watangaze kugombea uenyekiti bali alitakiwa awe ametang'atabgaza kung'atuka kabla

    Mbowe amekaa kwenye hiyo nafasi kwa muda mrefu na amefanya mengi mazuri na bila shaka kuna mambo hakuyafanya vizuri kama binadamu. Hata hivyo; ni hulka ya wanadamu kutaka mabadiliko hata kama utakuwa kiongozi mzuri kiasi gani. Kuna wakati utafika watu watatakka ukae pembeni upishe wengine. Sio...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GEN.MUHOZI KAINERUGABA KUIONGOZA UGANDA KISASA BAADA YA RAIS MUSEVEN KUNG'ATUKA

    kuna kila dalili mikoba ya uongozi wa juu wa chama na serikali ya Taifa la Uganda kukabidhiwa kwa Gen.Muhozi kainerugaba, mtoto wa Rais wa sasa wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni.. malezi na makuzi yake, karibu maisha yake yote, amekulia kwenye korido za ikulu, jeshini na wakati fulani uraiani...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, Kung'atuka nako ni ushujaa

    Hello Rais Samia! Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania. Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa. Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu. Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023 Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
  11. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Ushujaa na ubora wa Rais Magufuli utang'ara zaidi baada ya kung'atuka madarakani 2025

    Salaam Wana JF Nianze andiko hili fupi la uchambuzi kwa kutoa hongera na shukrani kwa Rais Dkt. Pombe Magufuli kuendelea kuonyesha misimamo chanya dhidi ya maslahi ya Watanzania katika mambo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kifya licha ya uwepo wa mashambulizi makali kutoka miongoni mwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Katiba ya CCM irekebishwe ili Dkt. Magufuli aendelee kuwa Mwenyekiti hadi atakapoamua kung'atuka kama Nyerere

    CCM ni chama dola. CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi. CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania. Dkt. Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha uwezo mkubwa sana katika kusimamia misingi ya chama na uzalendo kwa ujumla. Kwa mageuzi makubwa...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Papa Francisco aridhia ombi la Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro kung'atuka kutoka madarakani

    Baba Mtakatifu Francisco ameridhia ombi la Kung'atuka kutoka madarakani lililowasilishwa na Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro.Awali mwaka 2019 Baba Mtakatifu alimteua Monsinyori Lazarus Vitalis Msimbe, S.D.S kuwa msimamizi wa Kitume wa jimbo hilo akiwa na majukumu ya kufundisha...
  14. DAT BOY SU

    JamiiForums Tanzania Platform waliyotengeza CCM ni ngumu kuja kuwatoa madarakani labda wenyewe waamue tu kung'atuka

    Ukiangalia muundo wa Chama cha Mapinduzi ulivyo kuanzia chini kwenye shina hadi Taifa utaona kuwa hawa jamaa wapo well organised na wanajua wanachofanya na kukitafuta tofauti na vyama vingine vya siasa. Ukianzia namna mchakato wa kuwapa viongozi wao wa shina, kata hadi taifa utaona ni wa wazi...
  15. abdul_eliesikia

    JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere: Hata mimi walinambia using'atuke nchi bado inakutegemea, nikaja jua kumbe nchi ni familia zao, hawana uhakika na ajira zao nikiondoka

    Nimekumbuka ujumbe wa Mwl Nyerere kabla ya kung'atuka aliporusha dongo kwa wapambe wake waliomshauri abaki madarakani kwa kuwa ana afya, uwezo na wananchi wanamuhitaji sana kama kiongozi wao mzalendo. Mwalimu aliwaambia wapambe wake hapana na wasiwe na wasiwasi kwamba akiondoka labda ajae...
Back
Top Bottom