The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Moja ya mashitaka kwenye kesi ya uhaini ya Lissu ni kutumia kauli ya No Reforms No Election, kauli ambayo mwasisi wake ni Mbowe aliyekuwa Mkiti wa Chadema 2024.
Kwanini mahakama isimuite Mbowe aje afafanue alikuwa na maana gani badala ya kumbana Lissu peke yake atoe ufafanuzi, au kwanini hakuwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea.
Tundu Lissu ameiambia Mahakama kwa Kauli mbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION siyo yake bali ni ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama...
Mtangazaji wa Clouds FM, Farhan, ameeleza mtazamo wake kuhusu wimbi la tuhuma zinazomkabili Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akisema kuwa kuna aina ya watu na hata baadhi ya wanachama wa chama hicho ambao wamekuwa mstari wa mbele ku-comment kwa kudaiwa kula fedha za chama.
Hata hivyo...
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Gerva Bernard Lyenda amesema kuwa siyo sawa kuzungumzia uchaguzi ujao wakati ule uliopita haukufanyika kwa misingi sahihi.
Lyenda ameeleza kuwa CHADEMA inaendelea kusimamia msimamo wake wa "No Reforms, No...
Wakili Peter Madeleka amesema "No Reforms, No Election" haiwezi Kufanywa Uhaini, akisisitiza kuwa madai ya mabadiliko ya kisiasa na kikatiba ni haki ya msingi ya kidemokrasia na sio uchochezi au kosa la jinai. Alifafanua kuwa katika mfumo wa vyama vingi, kila chama kina haki ya kuwa na sera na...
Godbless Lema amendelea kukiwasha na kutoa maoni yake yalitokea Oktoba 29, 2025.
Godbless Lema amesema Oktoba tunatiki, No Reforms No Election inachocheaje maandamano? Maandamano yamechochewa na uhuni na ukadamizaji wa haki na Demokrasia katika nchi ya Tanzania.
Soma Pia: Godbless Lema: Watu...
Wakuu
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?
Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi.
Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
Hali bado ni tete mtaani.
Polisi wakishirikiana na wajumbe wa Serikali za Mitaa wanawinda watu, hasa vijana wa kiume, usiku wakiwa wamelala.
Mbaya zaidi wanabeba kila mtu bila kujali lolote, na ole wako wakukute na jeraha lolote cha moto utakiona.
Vijana hawa wakichukuliwa hawaonekani kwenye...
Ni dhahiri wananchi wameukataa uchaguzi feki, wengi hawakujitokeza kwenda kupiga kura na maelfu waliingia barabarani kuandamana kupinga uchaguzi huo na kudai haki.
Kilichofanyika ni kumtangaza yule mama kushinda kwa kura ambazo kimsingi hazikuwepo bali ni magumashi tu.
Kwa sasa huyo mama...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamekihama chama hicho.
Shirika la Vijana na wanawake Tanzania (TAFEYOKO) limesema limefanya utafiti katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ambao umeonesha asilimia 64 za wanawake na asilimia 36 za wanaume wamesema wakishamaliza kupiga kura watarejea nyumbani.
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita, amewatoa hofu wananchi wa mkoa huo kuhusu hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa mkoa uko salama na hauna tishio lolote la kiusalama.
Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari...
Oktoba 29 dhumuni ni lile lile Watanzania walilo jiwekea: Bila ya Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi.
Sasa kwa nini tuanze tena kutafuta visababu vya kupotezeana akili? Maandamano nchi nzima ni nyenzo muhimu ya kuzuia uchafuzi huo aliojipangia Samia na Genge lake ili abaki madarakani kwa nguvu.
Kwa...
Katika video inayosambaa mitandaoni ikionyesha kundi la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika harakati za kushusha bendera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika maeneo mbalimbali ya Musoma.
Kwa mujibu wa maelezo yanayosikika kwenye video hiyo, hatua hiyo inadaiwa...
Wanabodi,
Nimekutana na clip hii ya huyu kijana akiwa amevaa nguo za JKT akisema kuwa kama Jeshi lenyewe linaunga mkono maandamano na asijitokeze yoyote kuwaumiza wananchi kwenye maandamano hayo
Sasa najua kuna wajuzi humu. Huyu ni mwanajeshi kweli au ni changa la macho
Kama kweli huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.