Nipo morogoro wilaya ya kilosa mjini, aliepo moro mjini or Dar tubadilishane. Idara ya Sekondari.

Ni tumie Private Messege (PM>
 
Kwa aliye tayari kuja iramba kutoka halmashauri za Arusha, monduli, na meru tuwasiliane pliz. Mimi nipo idara ya sekondari
 
Jamani mimi nipo halmashauri ya MOSHI (v),kwa aliye wilaya yoyote katka mkoa wa MBEYA.(sec) 0752230738 au 0758847909,
 
Mimi ni mwalimu idara ya msingi,wilaya ya Sengerema.Nipo Sengerema mjini.Kama kuna yoyote anaehitaji kuhamia Sengerema mjini,kutoka Dar es salaam au kilimanjaro,anicheck kwenye namba 0652 394 266.
 
Aliye tayari kuja wilaya ya kilwa kutoka mikoa ya Arusha,Manyara,Dar,au Tanga tubadilishane.tuwasiliane kwa pm au hapa
 
Nawatafutia wadogo zangu mtu wa kubadilishana vituo vya kazi mmoja yupo maswa na mwingine yupo katavi wanataka kurudi mkoa wa njombe ilikuwa karibu na familia atakae kuwa tayari tuwasiliane kupitia namba hzi hapa hv 0766597333/0712230770(Wote wapo idara ya shule za msingi)
 
Mimi Mwalimu wa agile ya msingi rufiji bungu daraja la tatu alietayari kwenda kutoka dar, au pwani tuwadiliane 0715360790
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari mwajiriwa katika manispaa ya Mtwara Mikindani (Mjini) masomo ya sayansi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae vituo vya kazi kutoka morogoro,kama unapenda kuja mtwara nitafute 0765-057495
 
Nipo Magu Mjini S/msingi kwa aliyetayari kubadilishana kutoka Mkuranga,Kibaha, Morogoro Manispal au Manispal yoyote ya mkoa w Dar es salaam naomba Ani-PM.
 
Nipo Magu Mjini S/msingi kwa aliyetayari kubadilishana kutoka Mkuranga,Kibaha, Morogoro Manispal au Manispal yoyote ya mkoa w Dar es salaam naomba Ani-PM.
 
kuna mwl anataka kuhama kutoka mkuu secondary kwenda mkoa wa morogoro aliye tayari pm nikupe detail
 
Back
Top Bottom