mwalimu wa sekondari wa kubadilishana kutoka MOROGORO kwenda DODOMA mjini ani PM
 
mkuu huo mbona utakua mchakato mrefu coz itabidi nihame mara mbili ila naona kama distance ndo issue kwake bora aje korogwe kuliko kahama
 
Wadau mm ni mwalimu wa sekondari wilaya ya bunda mkoa wa mara shule ipo mjin natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo aliyemkoa wambeya au dodoma
 
Natafuta mwalimu wa secondary kutoka morogoro aje kondoa irangi na mimi nije morogoro kwa mawasiliano nipigie no 0783 444731. imeandikwa tarehe 2/1/2014.
 
Natafuta Mwl wa kubadilishana nae idara ya msingi toka mkoa wa Morogoro wilaya yeyote nae aje wilaya ya Bunda mkoa wa Mara.kwa mawasiliano.0682907727
 
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke mkoani Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas

njoo kondoa irangi mi nije morogoro
 
Mimi nipo wilaya ya mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kudilishana kituo cha kazi kutoka Singida na Manyara wilaya yoyote idara ya sekondar.nichek 0765070911
 
Back
Top Bottom