WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Joseph Isaack

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
445
225
Nipo Magu Mjini S/msingi kwa aliyetayari kubadilishana kutoka Mkuranga,Kibaha, Morogoro Manispal au Manispal yoyote ya mkoa w Dar es salaam naomba Ani-PM.
 

2hery

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,698
2,000
kuna mwl anataka kuhama kutoka mkuu secondary kwenda mkoa wa morogoro aliye tayari pm nikupe detail
 

Rohongumu

JF-Expert Member
Aug 7, 2013
433
195
Nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye aje mbinga atoke songea municipal au songea vijijini namba 0686434354
 

Rohongumu

JF-Expert Member
Aug 7, 2013
433
195
Nahitaji mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje mbinga atoke songea municipal au songea village . 0686434354
 

NYACHA

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
273
225
mi niko CHATO MJINI (secondary) natafuta Mwl. wa kubadilishana nae wa MOROGORO MJINI.
 

Mwihadisa

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
608
195
tar 31/12/2013 wanatoa majina kwa wote walio omba kuhama ktk kipindi cha July-15,December.Omba Mungu uwe umekidhi vigezo utahama tu.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/12/2013 watashughulikia muda gani ili watoe siku hiyo hiyo? Hebu soma hapo chini kwa uhamisho wa Desemba 2012
 

Brightman Jr

JF-Expert Member
Mar 22, 2009
1,226
1,250
Mkuu mdogo wangu yuko Khm anataka kwenda Morogoro. Fanya utaratibu wa Moro aje huko , dogo aende Moro ww uende Khm
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom