Jamani mungu awafungue hawa wenye nchi watukumbuke nasisi tulio chini ya mti mkavu. Tuombe iwe kweli maana duuNami naskia hivyo
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Jamani mungu awafungue hawa wenye nchi watukumbuke nasisi tulio chini ya mti mkavu. Tuombe iwe kweli maana duuNami naskia hivyo
Njoo Tabora - Uyui;
Nije Katavi idara ya Msingi,
+255767-145922
+255786-145922
Idara gani mkuuNJOO MAGU NIJE GEITA
Umeskia wap mkuu hz taarfaJamani nasikia vibali vya uhamiaho vimetoka kuna ukweli wowote?
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Serkl ipo bize na barabara na si kukuhamishajamani vibali lini vitatoka kwa yoyote aliyepata tetesi au tuanze upya? na je huko halshauri tutaaainiwa ?
lakini hizo Barbara kwani lazma aende yule?
Ni fumbo la Imanijamani vibali lini vitatoka kwa yoyote aliyepata tetesi au tuanze upya? na je huko halshauri tutaaainiwa ?