wanaumewaisaka
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 366
- 178
We kaa utulie huko wenzako wanatafuta ajira we unaleta mapozi kazini
Kila mtu Na hitaji lake bhana, kama halikuhusu, kaa mbaliWe kaa utulie huko wenzako wanatafuta ajira we unaleta mapozi kazini
Hebu fanya kazi si uliitaka mwenyeweKila mtu Na hitaji lake bhana, kama halikuhusu, kaa mbali
Nina Shaka Na uelewa wako, hebu niambie kwanini unakula ilihali Jana pia ulikula? Ukijibu hilo nitakujibu jibu linalokufaaHebu fanya kazi si uliitaka mwenyewe
Hizi zote ni stress !!!Nisaidie kulijibu wewe uloshindwa kazi
Njoo Karagwe Kagera, nije Igunga, Nzega, Singida,Meatu, Maswa, Kishapu ,Kahama, Shinyanga, Misungwi, Geita au Sengerema