Mtwara kubwa wilaya gani kata na kijiji chake umbali toka halmashauri mpaka kituo cha kazi.mahitaji muhimu kama usafiri afya chakula shule za private za watoto wadogo zipo
 
ww veeepe!!? hiyo title yako imetusitua bwana. wenzako mpaka leo tunangj uhamisho na hautoki ww cjui huyo atakaekuhamisha ni serkal ipi na mwaka upi!!!!!
 
Njoo mbinga nije mbeya (V) (M) chunya,mbozi,songwe, umalila, chimala, ileje, tunduma, ifumbo, idara secondary 0754015241
 
Njoo Bukoba Manispaa idara sekondari aje Morogoro Manispaa, Kilosa, Ifakara, mvomero, IRINGA MANISPAA AU mbeya jiji [HASHTAG]#0757463047[/HASHTAG]
 

Attachments

  • IMG-20160901-WA0000.jpg
    IMG-20160901-WA0000.jpg
    35.6 KB · Views: 49
Bado tu mnatafta wa kubadilishana wakat wenzen amabao walitakiw wahame tangia july mpaka leo hatima yao haijulikan nahid mnamjarib mkuu
 
Back
Top Bottom