Kama ewe ni mwalimu (msingi) upo wilaya ya rungwe,mbozi ama momba na unataka kwenda kufanya kazi mkoa wa tabora, wakati wako wa kufanikiwa umefika. Wasiliana nami kwa 0756029052 / 0719029052
Natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye kituo cha kazi. Yeye aje URAMBO-TABORA nami nije halmashauri yoyote mkoani SHINYANGA(Yaani kati ya KAHAMA, SHINYANGA VIJIJINI au MJINI, KISHAPU na USHETU. Pia BUKOMBE-GEITA na NZEGA-TABORA. Aliyetayari tuwasiliane kwa simu Na.0783496326 au 0765780233
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi.
Mimi nipo Kilindi-TANGA, natafuta mwalimu anayehitaji kuja huku aliyeko mikoa ya PWANI, MBEYA, IRINGA au RUVUMA.
Nitumie PM. Karibu.
mimi nipo kinondoni dsm nataka kuhamia mtwara,songea au lindi pamoja na iringa au mbeya
Hujaeleweka Mkuu! Yani Wewe Unataka Kwenda Songea Mjini Au Unataka Kutoka Songea Mjini Uende Kijijini?
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi.
Mimi nipo Kilindi-TANGA, natafuta mwalimu anayehitaji kuja huku aliyeko mikoa ya PWANI, MBEYA, IRINGA au RUVUMA.
Nitumie PM. Karibu.