natafuta mwl wa kubadilshana toka mbeya wilaya ya rungwe tu aje moro kilosa advantage nina refalii yupo huko idara sec 0789599055

Ndugu yangu mwalimu wa sekondari Moshi mjini(manispaa) anatafuta mwalimu wa kubadilishana aliyeko Kilosa-Morogoro. Mawasiliano piga 0764074642
 
Ndugu yangu mwalimu wa sekondari Moshi mjini(manispaa) anatafuta kubadilishana na mwalimu yeyote wa sekondari aliyeko Kilosa-Morogoro. Mawasiliano piga 0764074642
 
Ndugu yangu mwalimu wa sekondari Moshi mjini(manispaa) anatafuta mwalimu wa kubadilishana aliyeko Kilosa-Morogoro. Mawasiliano 0764074642.
 
Ndugu yangu wa sekondari Moshi mjini(manispaa),anatafuta mwalimu wa kubadilishana na mwalimu yeyote wa sekondari aliyeko Kilosa-Morogoro. Mawasiliano 0764074642
 
Mwalimu wa sekondari aliyeko Kilosa-Morogoro na anapenda kufanyia kazi Moshi mjini(manispaa),piga 0764074642 ili upate mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi.
 
Mi niko Shinyanga Manispaa natafuta wa kubadilishana naye Arusha, Meru au Arusha vijijini kama uko interested niPM
 
Natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye kituo cha kazi. Yeye aje URAMBO-TABORA nami nije halmashauri yoyote mkoani SHINYANGA(Yaani kati ya KAHAMA, SHINYANGA VIJIJINI au MJINI, KISHAPU na USHETU. Pia BUKOMBE-GEITA au NZEGA-TABORA.Aliyetayari tuwasiliane kwa simu Na.0783496326 au 0765780233
 
Natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye kituo cha kazi. Yeye aje URAMBO-TABORA nami nije halmashauri yoyote mkoani SHINYANGA(Yaani kati ya KAHAMA, SHINYANGA VIJIJINI au MJINI, KISHAPU na USHETU. Pia BUKOMBE-GEITA na NZEGA-TABORA. Aliyetayari tuwasiliane kwa simu Na.0783496326 au 0765780233
 
Natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye kituo cha kazi. Yeye aje URAMBO-TABORA nami nije halmashauri yoyote mkoani SHINYANGA(Yaani kati ya KAHAMA, SHINYANGA VIJIJINI au MJINI, KISHAPU na USHETU. Pia BUKOMBE-GEITA na NZEGA-TABORA. Aliyetayari tuwasiliane kwa simu Na.0783496326 au 0765780233
 
M n mwl wa sekondari npo tunduru-ruvuma. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi tokea mikoa ya MWANZA, MARA, SIMIU, GEITA NA KAGERA. wasiliana nae kwa: 0787507351.
 
mimi ni mwalimu wa shahada natafuta
mwalimu yeyote anayetaka kuja halmashaur
ya urambo tabora.
VIGEZO.
1. Awe mwalimu wa Sekondari
2. Awe anatoka wilaya ya KOROGWE.
Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba
zifuatazo.
0757 400 801
0764 458 502
Nataka kuhamia wilaya ya Korogwe tu!
 
Mwalimu wa sekondari yuko Moshi mjini(manispaa) anatafuta mwalimu yeyote wa sekondari wa kubadilishana naye aliyepo Kilosa-Morogoro. Mawasiliano 0764074642
 
Back
Top Bottom