kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,546
- 1,663
Uganda corona imeleta Shida mkuu
Mkuu Uganda hauwend tena
Mkuu Uganda hauwend tena
Sandals za kimasai zipo kariakoo na makumbusho pia..!Naomba kujua machimbo ya vitu vifuatavyo
T-shirt 4m6 zile machinga wanauza 7000
Sandals za kike zile machinga wanauza 3500
Vijora vile wanaviuza 6000
Bidhaa za dukani kama Foil, miswaki, pipi, jaladio, soksi, pencel, pen, daftari, kofuli, lesso n.k
Sandals za kike na kiume za kimasai
Boxer zile zinafungwa tatu tau machinga wanauza 10,000
Jeans ambazo machinga wanauza 12,000
Kwa anayejua akiweka na bei za kununulia kwa jumla itapendeza zaidi.
Natamani kujua hizi wallpaper wanauza wapi kwa jumla hapa bongoHizi wallpaper Dar zinauzwa bei juu mfano tukipata watu 20 tukaunganisha hela zetu tukaagiza China tunapata kwa bei ya 6000-8000/roller
Sandals za kimasai zipo kariakoo na makumbusho pia..!
Bei ni 4500 kwa kila moja mtaani zinauzwa 10k +
(Kituo cha msimbazi police, uliza yeyote)
6k - 7knaomba kama kuna anaefahamu izi nguo zinauzwa minadani zinapatikana chimbo gani kariakoo bei ya jumla ?
View attachment 1824567
View attachment 1824568
View attachment 1824569
Zinapatikana wapi?6k - 7k
Ngoja waje mkuuNatamani kujua hizi wallpaper wanauza wapi kwa jumla hapa bongo
Asante dia Leo ndio nimeelewa mm huwa nanunulia mtaa wa kongoMnazi mmoja kanga na vitenge, kwenye mataa (baada ya kituo cha daladala zinapoishia)
Vikoi pia utapata kwa bei nafuu mno, vitenge ndio mahala pake
Uliagizia kutoka website ipi mkuuNimefanikiwa kuagiza bidhaa mbili mwenyewe kutoka China na sasa naziuza. Veeeryyyyy simple
Kupata chini ya 18,000 labda uagize mwenyewe
Ulishapata mkuuAnayejua yanapopatikana mashuka ya jumla yale ya kukata bei nzuri anisaidie
Natakuja pmAggrey/Congo yaani ile mitaa ya nguo, viatu na mikoba kwa jumla na hata rejareja, maana kwasasa nafanyia Tandika ila naona nashindwa kufikia malengo ya mauzo na Frame ni ndogo.
Mkuu maelekezo jinsi ya kuagiza AliepressFanya kuagiza AliExpress inalipa
mtafute insta usiende karikoo anauza jumla 12000 na rejareja 15000
Famba zile siyo mossimo OG
Kumbe asante mm nilikuwa sijuiFamba zile siyo mossimo OG
Unawezaje kuzijua hii famba hii og?