Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,725
- 1,081,356
πππππ
Dah ..... imenikumbusha goli la mama milioni 10.........
Kwenye mambo kama haya ukiamua kutoa toa kama sadaka na toa kwa moyo mweupe. Huyo kama ni tapeli basi atakwenda kujuana na Mungu wake huko!Dah ..... imenikumbusha goli la mama milioni 10.........
ila pia wimbo nadhani ni wa Marijani Rajab.....Dunia ya sasa Imani imekwisha
Jiridhisheni kabla ya kutoa msaada
Shangazi ametoa angalizo!