Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ni aina fulani ya ushindi usioweza kuelezeka kwa wale wenye kuamini.

Hayupo tena kaburini daima na daima.

Heri na furaha kwetu sote kwa sikukuu za kukumbuka kufufuka kwa Kristo.
9913c5c3b21fb83f93decea62f00ac25.jpg
 
Asanteni wanawake wote. Nyinyi ni mama zetu na kipindi cha mimba miili yenu hupitia suluba na mabadiliko ya kila aina. Ndiyo maana miili hiyo huwa inachoka mapema.

Isitoshe kule labor kifo ni nje nje. Kupitisha likichwa la mtoto katika kanjia kale kadogo tena ukiwa katika maumivu makali yanayosemwa kuwa yanazidi 10/10 ni hatari. Kitu kidogo tu kisipokwenda inavyotakiwa ni shida. Na bado mkilimaliza jukumu hilo takatifu mnasahau na kurudia tena na tena. Aaaah! Upendo gani wa kweli kama huu wa mama kwa mwanae?

Wi lavu yu ende Thenki yuuuuuu!
Asante sana brother, wanapaswa kukutana na comment za namna hii wakina mama na wakina dada kuliko matukano fedheha na kudhalilishwa.
Pasaka ikawe njema kwako kaka mkubwa.
 
Kwenye mambo kama haya ukiamua kutoa toa kama sadaka na toa kwa moyo mweupe. Huyo kama ni tapeli basi atakwenda kujuana na Mungu wake huko!

Ukiitumia hii fomyula hutakaa ujute kamwe maishani mwako katika kusaidia watu na wenye uhitaji.

Yote kwa yote ni vizuri kuwa waangalifu!
Naunga mkono.
Maana hata anayefanya udanganyifu anaongozwa na hali maisha aliyonanyo
 
Back
Top Bottom