Wanachoma mgodi wa Tanzanite. Mali yenyewe kabisa hiyo.
Mnawaonea walimu
hahahaha.sawa narudiUmepotea njia,rudi utokako
Usikute hapo kuna baharia anatamani angewai kufika kwanza peke yake, eneo la tukio
Sisi watoto hatujaelewa
Unapata body erosion
Dr umeanza nn tena hiki kwenye vituko mitandaoni
Dr umeanza nn tena hiki kwenye vituko mitandaoni au unatangaza bizinesi unauza?
Inawezekana anakuona,bora useme ukweli tu🤣🤣 labda kama ulipo si eneo la wazi
Ancient religion
Dha aisee.Bunge tukufu na huu ndiyo utukufu wakeView attachment 2248433
Chuo wengi walikuwa wanahisi niko hivyo,siingii class kwa sana..na nilikuwa napasua.
Hapo tutakuwa tunapoteza muda tuu. Wanawake wakisasa hawataki mitongozo wao wanataka muamala tuu
nmecheka