Alitaka kunichukulia demu wangu mi nikamtaimu nikamuwahi nikamla wa kwake. Mpaka leo hatusalimiani [emoji123][emoji123][emoji123]
Na wale wasiopigiwa,wawe wanapiga wenyewe?
Vipi hali ikoje sasa?Umenikumbusha hii motion, miaka yetu ya gizani huko shule yangu tulienda Igowole-Mufindi pamoja na mambo mengine tulikuwa na debate na Sisi shule yetu ilikuwa opposer side [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu wanapendaga ukiwakunja namna hii...yaani wee hapo nikupelekea moto tuu
Ukweli kabisa....mwanamke tako na sura