Akali chakula cha baharini kitamu sana.
Karibu nikufundishe namna ya kuwala hawa kamba, chaza, kaa, pweza, ngisi, nk
Siyo kila siku perege na kambale tu
Hivyo nimetoka kumla kambale mbichiiii,halafu ankali hayo mavitu sijui pweza nikiwaangalia tu ata kujaribu kula nashindwa kwa jinsi walivyo

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Nilikwenda Mererani kusaka hela, na sasa nimerejea! Ukimsikiliza babu yako shauri yako
tapatalk_1565829637216.gif
 
Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Dunia nzima. Leo kila mtu ana umri sawa. Chukua jumla ya umri wako na mwaka wako wa kuzaliwa, utapata 2021. Hii hutokea mara moja kila baada ya miaka 1000 kwa hivyo unapaswa kuwa na furaha kuiona Siku hii Kuu; km 37+1984=2021
Bro hapo umetulisha matango pori tena bila chumvi.
Kwa formula hii kila siku ni birthday!
Jaribu kwa tarehe yoyote utapata matokeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom