Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,105
- 829,001
- Thread starter
- #87,021
Umri sio miakaStress za maisha View attachment 2028575
Umri sio miakaStress za maisha View attachment 2028575
Bongo angefukuzwa hapo kama mbwa ila ingekutwa bangi ndiyo ingekuwa yake.
Nimeshafungua mlango karibuNimejaribu kukutumia zimegoma. View attachment 2028651
Huzimi simu, mwambie huna hela mambo yaisheView attachment 2028589
Mambo mengine Mkuu jibu huwa linapatikana papo kwa hapo.Unakosea chumba cha gesti hausi, unakutana na hii mambo.. Je
Utafunga mlango uondoke?
Utabaki kukodoa mimacho ya uchu?
Utapiga moyo konde uingie?
Ah..!?View attachment 2027319