Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,207
- 1,077,400
Wanyaki bana
Sometimes maisha hayako fair enough.
Mpaka unajiuliza unakisea wapii?!View attachment 1819567
Vipi unaweza kumwachia mke ghetto eti sababu ni mgomvi? Akii ningekua mimi yeye ndiye angetoka humo ndani, ningemdunda akileta ugomvi tu kipigo😂Haha...Mmmmmh
Wanyaki once again! Kwa kusingiziwa tu sawa bana😂 ila hao kama wasukuma hiviWanyaki bana
View attachment 1819673
Mkuu sitaki kuusemea moyo, ila kama akizingua atahamia tu😂😂 but why hadi mtu ahame nyumba yake bana tusuluhishe tu yaishe kabla hakujapambazuka🤙Ila wewe soulimeti huwezi kuwa pasua kichwa mpaka kumfanya hubby wako ahamie paani
Watoto wa Israel hawa, ni wanajeshi😂Ni wapi hii? Nadhani ni law enforcement hawa au ni muvi scene. Hata Marekani ambako bunduki zinauzwa kama karanga huruhusiwi kutembea na silaha yako hadharani.
Wapuuz sana hao
Kitu cha gomba hichoKakishika huwa hivi
View attachment 1819451