King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,345
- 88,522
😀 😀 😀 Huyo Jamaa analiweza hilo scania kweli au ndio kiki tu.
Haaaaa halooooo, sasa we ungeliweza kweli?😀 😀 😀 Huyo Jamaa analiweza hilo scania kweli au ndio kiki tu.
Haaaaa halooooo, sasa we ungeliweza kweli?
Alokwambia hiyo bangi nani?Kama siyo mibangi mibichi hii basi![]()



Haha...MmmmmhJamaa kaamua bora kuishi mwenyewe huko kuliko ndani na mwanamke mgomviila wanawake sisi
View attachment 1819658
Ni wapi hii? Nadhani ni law enforcement hawa au ni muvi scene. Hata Marekani ambako bunduki zinauzwa kama karanga huruhusiwi kutembea na silaha yako hadharani.
Ila wewe soulimeti huwezi kuwa pasua kichwa mpaka kumfanya hubby wako ahamie paaniJamaa kaamua bora kuishi mwenyewe huko kuliko ndani na mwanamke mgomviila wanawake sisi
View attachment 1819658


