Kawaida tu. Ndiyo maana tunasema lugha ni sauti za nasibu tu na kitajwa na kirejelewa havina uhusiano wa moja kwa moja. Kwa hivyo kila jamii-lugha ina uhuru wa kukiita kitu cho chote kile itakavyopenda.

Juice hii nilikutana nayo kule Tijuana Mexico. Nilishangaa sana ila nilielewa na nikainunua kabisa. Tena matangazo yanasema "Taste the best mavi here"...
View attachment 1816348
Alafu wakaandika do not shake, hehe, wanajua wao... 😂
 
IMG_20210611_230657.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom