Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Hahah zipo bujora makumbusho kisesa
Haswaaa ukutane na motivational speaker, ndio utajua,
Wewe rudi tu Bongo tukupe Uraia. Kabila tutakupa Mhehe kama Waziri wa zamani marehemu Mungai!Nakumbuka kitambo nikiwa mdogo nilikua na kitabu cha katuni za Madenge, hivi bado kipo sokoni?
😂 😂 😂 Waliona kivumbi, hakuna mtu anataka kufa, dadeq! 🤣
Utafikiri yupo jeshini! 🤣 🤣 🤣