Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 8,848
- 15,252
Hayo mafuta ya nini hapoZimebaki chacheView attachment 1583185
Hayo mafuta ya nini hapoZimebaki chacheView attachment 1583185
Jiongeze madamHayo mafuta ya nini hapo
Mbona hiyo picha Sijaelewa, huyo mtoto amefanyeje? 🤔Niliwahi kulea mtoto wa aina hii...ni stress
Ina mana ukinunua iPhone unapewa na hayo mafuta bure?Jiongeze madam
Hapana!Wewe bhana unaelewa lakini unachotaka ni uhakika tuIna mana ukinunua iPhone unapewa na hayo mafuta bure?
Naelewa nini?Hapana!Wewe bhana unaelewa lakini unachotaka ni uhakika tu
Hapo alikuwa anamlaza, amejitahidi kufuata hatua nyingi za kutengana nae lakini mwisho wa siku kimefumbua macho kabla hata hajaondokaMbona hiyo picha Sijaelewa, huyo mtoto amefanyeje?
Mimi wote niliolea walikuwa hivyoNiliwahi kulea mtoto wa aina hii...ni stress
dah huyu mbwa kanya kweli!! yaleee chini
Professor katumiwa connectionWanafunzi tuwe making na kutuma connection, Kuna ku discoView attachment 1581007