Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,867
- 19,651
Hayo mafuta ya nini hapoZimebaki chacheView attachment 1583185
Hayo mafuta ya nini hapoZimebaki chacheView attachment 1583185
Jiongeze madam[emoji23][emoji23]Hayo mafuta ya nini hapo
Mbona hiyo picha Sijaelewa, huyo mtoto amefanyeje? 🤔Niliwahi kulea mtoto wa aina hii...ni stress
Ina mana ukinunua iPhone unapewa na hayo mafuta bure?Jiongeze madam[emoji23][emoji23]
Hapana!Wewe bhana unaelewa lakini unachotaka ni uhakika tu[emoji16][emoji16]Ina mana ukinunua iPhone unapewa na hayo mafuta bure?
Naelewa nini?Hapana!Wewe bhana unaelewa lakini unachotaka ni uhakika tu[emoji16][emoji16]
Hapo alikuwa anamlaza, amejitahidi kufuata hatua nyingi za kutengana nae lakini mwisho wa siku kimefumbua macho kabla hata hajaondokaMbona hiyo picha Sijaelewa, huyo mtoto amefanyeje? [emoji848]
Mimi wote niliolea walikuwa hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kulea mtoto wa aina hii...ni stress
dah huyu mbwa kanya kweli!! yaleee chini[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1582878
Professor katumiwa connection [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanafunzi tuwe making na kutuma connection, Kuna ku disco[emoji3][emoji3]View attachment 1581007