Uko sawa mkuu. kabila moja lilidominate hizi teuzi kwa 50%Hongera kwa wateule wote.
Teuzi ya mama imezingatia kujenga uzalendo wa taifa letu.
Taasisi zingine ni muhimu sana ziwe zinazigatia kujenga umoja na taswira ya nchi yetu, ni muhimu sana kila raia mwenye sifa akashiriki kulijenga Taifa lake, tuepuke kujaza aina mmoja ya watu.
safi sana.
sasa tuchape kazi kwa weledi na maarifa ili nchi yetu isonge mbele.