Wakuu Nawapa Taarifa Tu Kwamba, Kwa Mkoa Wa Pwani, Katika Wakurugenzi Wateule Ambao idadi Yao Ni 9, Miongoni Mwao 8 ni Waislamu na 1 Tu Ndio Mkiristo ambae Ni John Kayombo Lipesi ambae Ni DED Wa Rufiji. ... Kazi Iendelee
Nasema Tena narudia.

Hussein katanga ni HOVYO KUPITILIZA.
Hii miaka minne mtaona.

Ila mjipange kabisaaaaa
 
Wakuu Nawapa Taarifa Tu Kwamba, Kwa Mkoa Wa Pwani, Katika Wakurugenzi Wateule Ambao idadi Yao Ni 9, Miongoni Mwao 8 ni Waislamu na 1 Tu Ndio Mkiristo ambae Ni John Kayombo Lipesi ambae Ni DED Wa Rufiji. ... Kazi Iendelee
Mtaisoma nambaaaa.

Tulisema JPM mdini na mkabila mkasema OHHHH.
PRECEDENCE NEVER STOP
 
Mtaisoma nambaaaa.

Tulisema JPM mdini na mkabila mkasema OHHHH.
PRECEDENCE NEVER STOP
Mkurugenzi anayekuja wilaya songwe ajipange maanake haieleweki yani ukienda halmashauri unashida ndio utajua kuwa songwe iko Zambia maanake viongozi huwakuti halmashauri pia wengi wa wafanyakazi wa pale wameteuliwa au promoted kwa rushwa ya ngono au pesa mfano kuna afisa elimu mmoja wa mkoa amemuweka hawala yake kuwa afisa elimu taaluma sekondari.
Pia kuna wakuuu wenginwa shule wamewekwa pale kwa sababu kazi yani niliwahi kukaaa mkoa kama mtumishi lakini sikuelewa watu hawako maofisini yaaani wenyewe ni mapenzi tuuu
 
WAKURUGENZI 69 NI WAPYA WAMETEULIWA NA MHE SAMIA

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe Ummy Mwalimu amesema Uchambuzi wa awali wa Uteuzi wa Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan unaonyesha kuwa Wakurugenzi 70 wamehamishwa vituo vyao vya kazi na Wakurugenzi 45 wameendelea kuwepo kwenye vituo vyao vya kazi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Mhe. Ummy amebainisha kuwa Wakurugenzi 69 ni wapya kati ya hao Wakurugenzi 15 wamejaza nafasi zulizokuwa wazi na Wakurugenzi 54 wamechukua nafasi za Wakurugenzi ambao uteuzi wao umetenguliwa.

Aidha Waziri Ummy pia amebainisha kuwa Uchambuzi wa awali unaonyesha kati ya Wakurugenzi wapya 69 wanawake ni 33 sawa na asilimia 48 hivyo kufanya idadi ya Wakurugenzi wanawake kuwa 55 sawa na asilimia 29 ya Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa.
 
kuna mkurugenzi mmoja anaitwa jina Neto alikuwa mafinga sijui mufindi naona simuoni
Binafsi nimefurahi sana netho kuachwa kwenye list ya U_DED maana ni kigeugeu balaa na anajipendekeza mpaka anaboa utaadhani si mwanaume.

Akaisome namba
 
Maelekezo ya Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu kwa Wakurugenzi Wateule wa Mamlaka za Serikali za Mitaa

I. Wakurugenzi wote wateule wakaripoti kwenye vituo vyao vya kazi ndani ya siku tano kuanzia tarehe 03.08.2021 na makabidhiano ya ofisi yafanyike mara moja.

ii. Wakurugenzi ambao majina yao yameonekana kutokea kwenye maeneo zaidi ya moja wataripoti kwenye kituo ambacho jina limeonekana kwa mara ya kwanza kwenye orodha ya uteuzi. Aidha, pale palipojirudia jina patatambulika kama nafasi wazi na itajazwa hapo baadae. (Nafasi hizo ni Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi na Halmashauri ya Mji wa Njombe).

iii. Wakurugenzi ambao uteuzi wao umesitishwa wakaripoti kwa Makatibu Tawala na Makatibu Tawala wa Mikoa wawapokee na kuwapangia majukumu

Mwisho
 
Dini ndio imekuwa kigezo kikubwa.

Pwani, Chalinze, Mkuranga na maeneo kama hayo yote tulipendekeza asipelekwe Mkristo kwasababu hawezi kutenda haki sana kwa Waislam au hata kushughulika na shida zao.

Pia katika kikao cha mwisho tuliona tuwape Waislam (Dini ya hakhi) nafasi zaidi za teuzi
Upumbavu utakutoka lini ?!!🤣
 
Wakuu Nawapa Taarifa Tu Kwamba, Kwa Mkoa Wa Pwani, Katika Wakurugenzi Wateule Ambao idadi Yao Ni 9, Miongoni Mwao 8 ni Waislamu na 1 Tu Ndio Mkiristo ambae Ni John Kayombo Lipesi ambae Ni DED Wa Rufiji. ... Kazi Iendelee
Mkristo ataenda kuwaondolea Udhu Waislam na dini yao ya hakhi
 
Wakuu Nawapa Taarifa Tu Kwamba, Kwa Mkoa Wa Pwani, Katika Wakurugenzi Wateule Ambao idadi Yao Ni 9, Miongoni Mwao 8 ni Waislamu na 1 Tu Ndio Mkiristo ambae Ni John Kayombo Lipesi ambae Ni DED Wa Rufiji. ... Kazi Iendelee
Wakili MZIMA unakua mdini namna hiyo....hataree... 😲

Na hili ni tatizo la kutofundishwa KUFIKIRI .....

Ni ugonjwa huo....

#KaziIendelee
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
 
Back
Top Bottom